Kamasutra

Sauti Sol (Sauti Sol)
Team Money on the track
Oooh

Leo kama Kamasutra mama (Kamasutra)
Kama kama Kamasutra mama yeah yeah yeah (Kamasutra)
Kama kama Kamasutra baba (Kamasutra)
Kama kama Kamasutra baba yeah yeah yeah... (Kamasutra)

Ntakupa kazi upande mlima baby, yeah
Na siri zangu zote ntatoboa, yeah
So many things I want to do to you my baby, yeah
Na siri zako mi sitatoboa
Huuuh!

Selekta
I got something to make you better
Light the fire mi napepeta
Light the fire mi napepeta
Ehh!

Selekta (Selekta)
I got something to make you better (Better)
Light the fire mi napepeta (Peta)
Light the fire mi napepeta (Peta)

Leo kama Kamasutra mama ah ah (Kamasutra)
Kama kama Kamasutra baby, lady (Kamasutra) yeah yeah
Kama kama Kamasutra baba eeh (Kamasutra) Oooh
Kama kama Kamasutra baba yeah yeah yeah... (Kamasutra)

Chali wa Nairobi
Manzi wa Kipare
Leo ni mahaba nakupatia

Ushawasha nare
Hanjam kare
Leo michuano ki-Roger Milla

Na si maremare (aah)
Hii vibe kali (aah)
Cash Madame nakubalika

Mboga juu ya meza
Teleza ki-murenda
Washa udi na kadhalika

Uh Vanessa
I got something to make you wetter
Baby let me kiss you better
Light the fire mi napepeta

Selekta
I got something that make you rise up
Lemme back it up on you
Light the fire mi napepeta

Leo kama Kamasutra (Kamasutra)
Kamasutra (Kamasutra)
Kama kama Kamasutra (Kamasutra)
Kamasutra (Kamasutra)

Mapenzi ya kihuni yanimaliza
Kiuno kama nyigu baby punguza
Nishakubali wanafunzi
Wewe Professor wa Kamasutra

Mapenzi ya kihuni nimepachika (Pachika)
Kiuno kama nyigu baby tulia (Tulia)
Kubali wanafunzi mimi ni Professor (Professor) wa (Kamasutra)

Mizani kama mimi naondoka nawee
Napiga mahesabu naondoka nawee
Na mi nimekubali kuondoka na wewe, (Kamasutra) na wewe

Mizani kama mimi naondoka nawee
Napiga mahesabu naondoka nawee
Na mi nimekubali kuondoka na wewe, na wewe, naomba n'elewe

Leo kama Kamasutra (Kamasutra)
Kamasutra (Kamasutra)
Kama kama Kamasutra (Kamasutra aah aah)
Kamasutra



Credits
Writer(s): Sauti Sol
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link