Ukiondoka (Unplugged)

Nakupenda sana
Moyo wangu ni wako
Dunia ita vurugika
Siku iki fika
Ukiondoka
Mama
Nitalia
Utalia
Nikiondoka
Mama
Utalia
Nitalia
Upendo wa milele
Hakuna kilele
Mimi na wewe
Milele
Ulinipa moyo
Wakati nilikata tamaa
Nimebaki hapa
Nikijiuliza
Ukiondoka
Mama
Nitalia
Utalia
Nikiondoka
Mama
Utalia
Nitalia



Credits
Writer(s): Espen Sorensen
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link